ALBUM

Music

Rayvanny ft Zuchu – I Miss You Lyrics

Rayvanny ft Zuchu – I Miss You
Rayvanny ft Zuchu – I Miss You Lyrics.

We present to you the Lyrics to Rayvanny  brand new single titled “I Miss You”.

For the Purpose of Rayvanny fans and our users here we bring to you the lyrics to the song ‘I Miss You’ featuring Zuchu.

In case you haven’t download the Song yet, check it out below alongside the Lyrics.

Download The Song


Rayvanny ft Zuchu – I Miss You Lyrics

Hivi Bado Una Hasira,
Bado Unanichukia,
Bado Una Kinyongo..

Moyo Wako Ulisha Zira,
Bado Unaninunia,
Hivi Bado Una Usongo..

Kusema Bora Tuachane
Ndo Kauli Inayoniuma Kila Nikikumbuka
Tusitafutane Sikujua
Narusha Jiwe Ndege Ukapeperuka..

Tusijuane Nlisema Kwa Hasira
Leo Ndo Najuta Usinitukane
Namba Yangu Nyingine Usije Futa..

Sipendi Tuchukiane,
Naugua Kila Nikikumbuka Zamani..
Sisemi Turudiane Najua Kwako Ni
Ngumu Haiwezekani…

Ila I Want To Know,
I Miss You.. (I Miss You Baby)
I Miss You.. (Ahhhhhahh)
I Miss You.. (Nakukumbuka Weee)
I Miss You.. (I Want To Know)

I Miss You.. (Nakukumbuka Weee)
I Miss You.. (Nakukubusu Baby)
I Miss You.. (Oooooo Ioooo)
I Miss You.. (Aiya Yaaah)

Aaaaaahhh.. Aaahhhhh… Aaaahhhh..

Alisema Sele Gogo..
Penzi Ni Kama Mmea,
Hauchepui Muhogo..

Pale Pasipo Mbolea..
Vilikushinda Vidogo,
Hata Vya Kunitetea..
Vikaondoka Vifijo Nderemo Zikapotea..

Nija Ya Moyoni Mwangu,
Wewe Ulijaza Miba,
Nikupe Pole Mwenzangu
Pengo Lako Limezibwa..

We Endelea,
Na Wafuga Kucha Akina
Sidika Na Hudah..
Hiriki Uzile..

Oohh Ila Tambua Utamaliza
Bucha Twazidana
Ukubwa Nyama Ileile..

Sipendi Tuchukiane,
Japo Najua Mungu Amenilinda Na Mengi..
Sisemi Turudiane,
Hilo Tambua Mie Nilipovunja,
Sijengi Niliko Salama..

I Miss You.. (Oohh Yeeah)
I Miss You.. (We Niache)
I Miss You.. (I’m Doing Just Fine)
I Miss You..

I Miss You.. (I Don’t Miss You No No)
I Miss You.. (No No No No No No)
I Miss You.. (Eehh Eehh)
I Miss You.. (Aaahhh Aahh)
Aaaaaahhh…..

Leave a Comment

2 Comments