Lyrics

[Lyrics] Zuchu – Nyumba Ndogo

Zuchu Nyumba Ndogo Lyrics

We present to you the Lyrics to Zuchu latest single titled ‘Nyumba Ndogo

For th Zuchu e purpose of Zuchu fans and our users here we bring to you the lyrics to the song ‘Nyumba Ndogo‘.

In case you haven’t download the Song yet, check it out below alongside the Lyrics

Listen and Download Nyumba Ndogo by Zuchu Below:-

Stream Music On Boomplay

also

Download The Song


Zuchu Nyumba Ndogo Lyrics

Ooh! Ooh! Nkupe taarifa mwenzangu Uh! Uh!
Yamenifika kwa koo! We mwanamke mwenzangu uh! uh!
Sema Ooh! Ooh! Nkupe taarifa mwenzangu uh! uh!
Yamenifika kwa koo! We mwanamke mwenzangu uh! uh!

Bwana ako analalamika
Kila kija nyumbani
Eti hujui kupika
Kula kwako hatamani
Kwangu kalipenda tembele
Toto laini laini
Shoha umenyimwa upole
Tajiri wa kisirani
Na samahani samahani
Mwanzoni sikujitambulisha
Mimi nani

Mie ndio mke mwenzio a.k.a nyumba ndogo
Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo

Sina ubaya sina ubaya nawe
Aah!Ukinichukia, wanionea buree
Aah! Sina ubaya sina ubaya nawe
Aah!Ukinichukia, wanionea buree
Ooh! Sina ubaya sina ubaya nawe
Aah!Ukinichukia, wanionea buree

Ooh! Nasema mnyonge mnyongeni
Haki yaki mpeni mke mwenza unanifaa
Mie nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
Kwako bwana anakaa….
Mambo kusaidiana wala usihuzunike
Siku hizi kushare mabwana
Ndio fashion kwa wanawakee
Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike

Sina ubaya sina ubaya nawe
Aah!Ukinichukia, wanionea buree
Aah! Sina ubaya sina ubaya nawe
Aah!Ukinichukia, wanionea buree
Ooh! Sina ubaya sina ubaya nawe
Aah!Ukinichukia, wanionea buree

Twendee nache nache nache nache
Huu mchezo wa kichina zungusha kiuno chako
We kichina zungusha kiuno chako
Kama shepu huna pambana na hali yako
Kama huna pambana na hali yako

Nasema masha zungusha
We zungusha, sasa wanjala zungusha
We zungusha, Khadija kopa zungusha
We zungusha, Mama Dangote zungusha
We zungusha, Mama aah! aah! aah! aah!

We kama mzuka umepanda, Twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi
We kama mzuka umepanda, Twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi

Twende chagamkeni changamkeni changamkeni
Apo kati changamkeni changamkeni changamkeni
Na kulia changamkeni changamkeni changamkeni
Kushoto changamkeni changamkeni changamkeni
Mamaaaaa Haaaaaaa

Twendee nache nache nache nache
Nasma aii mama aii mama aii mama wee!

Andaa besee
Andaa besee
Andaa besee
Andaa besee
Twende

Mama
Andaa besee
Andaa besee
Andaa besee
Andaa besee
Twende

Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe

Leave a Comment